WALL DECORATIONS.......

 on Minggu, 07 September 2014  

Hapa ni nyumbani kwa mteja wetu...baada ya kuona hii nafasi iko wazi... hapo ni dinning.. na pembeni kuna makabati...akaja kwetu....akanunua hizi decorations na tukaenda kumpachikia kwenye ukuta wake... decorations hizi ni mbao na tunatengeneza wenyewe....karibuni kwa mahitaji ya decorations....





Tidak ada komentar:

Posting Komentar

J-Theme