BEFORE MEETS AFTER....

 on Minggu, 07 September 2014  




 Hapa ni nyumbani kwa mteja wetu Arusha....alinitumia picha yake ya nyumbani kwake nimpe ushari aweke rangi gani ya cussion covers...nikamwambia....tunahitajika kupa ongeza brightness maana kuko dark.....
Hapa ni baada ya kuweka mito ....na huu ndio muonekano wa sebule yake.....nikamshauri bado picha ya ukutani. ..maana ukuta uko wazi...amekubali sasa anasubiria picha za ukutani nilete....


Kwa mahitaji yako ya pillowcases and pillows.....na ushauri pia...karibu wasiliana nasi ...



Tidak ada komentar:

Posting Komentar

J-Theme