HABARI NJEMA KWA WATEJA WETU NA WADAU WETU WOTE.....KOKOTE MLIKO.....

 on Selasa, 16 September 2014  

 Homeze Deco tunayofuraha kuwajulisha kua... sasa tutakua tunawaletea vitanda vilivyo tayari...nikiwa na maana kua itakuchua siku 1 kupata kitanda.....na bei pia imeshuka... vitanda vya chuma vitaanzia 300,000 size 5 by6 na 6 by 6....behii huwezi  pata kokotee.....ni bei mpya hizi tumezianza.....na hii ni kutokana na uhitaji mwingi wa bidhaa hizi kwenu nyie wateja wetu na wadau wetu....
Sasa homez deco hua tunasikiliza wateja na kufanyia kazi maombi yenu....
 Tumeanzisha utaratibu wa kupata vitanda vilivyotiari.. na tutakua tunawaonyesha vitanda ambavyo viko tiari.....na kama haujataka katika hivyo nilivyotoa sasa ndio utoe order utengenezewe.. maana design ziko nyingi sasa inakua ngumu kutengeneza vyote....na ndio maana tumeanzisha utaratibu wa kutengeneza baadhi.....
 Vitanda hivi viko tayari...unalipa na kuchukua jioni yake.. yaani ni siku 1 umepata kitanda.....

 Vitanda hivi vinapatikana katika size 5 by 6 na  6 by 6 rangi unachagua wewe na kutuambia ipi unataka na utapakiwa uliyochagua.

 Bei ya vitanda ni kuanzia 300,000 mpaka 400,000 hii ni 5 by 6.
Na kuanzia 300,000 mpaka 500,000 hii ni 6 by 6.

Wasiliana nasi kwa namba 0713920565.  Mikoani pia bidhaa zetu zinawafikia...
Na bila kusahau...usafiri ni juu ya mteja...karibuni.



Tidak ada komentar:

Posting Komentar

J-Theme