/> Hizi ni rangi zilizopooza... unaweza kupaka ukutani ama ukazitumia kwenye accessories ama sofas...etc.... Hapa neutral color imetumika uku...
Home > Archives for September 2014
HABARI NJEMA KWA WATEJA WETU NA WADAU WETU WOTE.....KOKOTE MLIKO.....
/> Homeze Deco tunayofuraha kuwajulisha kua... sasa tutakua tunawaletea vitanda vilivyo tayari...nikiwa na maana kua itakuchua siku 1 kupata k...
OFFICE FLOWER ARRANGEMENTS. .....AVAILABLE AT HOMEZ DECO....
/> Homez deco tunayo furaha kuwajulisha kua.. tuna huduma ya kutengeneza maua ya maofisini... iwe ni reception ama kwenye kumbi za mikutano......
MZIGO MPYA WA SAA ZA UKUTANI.....2 IN 1...
/> Hizi ni saa za ukutani... na pia ni picha za ukutani....2 in 1. Saa hizi zote za juu zilizo pisi 3 bei ni 90,000 kwa I kama zilivyo. Hizi ...
BEFORE MEETS AFTER....
/> Hapa ni nyumbani kwa mteja wetu Arusha....alinitumia picha yake ya nyumbani kwake nimpe ushari aweke rangi gani ya cussion covers...nikamwa...
WALL DECORATIONS.......
/> Hapa ni nyumbani kwa mteja wetu...baada ya kuona hii nafasi iko wazi... hapo ni dinning.. na pembeni kuna makabati...akaja kwetu....akanunua...
SAA ZA UKUTANI....ZINAPATIKANA HOMEZ DECO KWA BEI POA....MNO....
/> Bei ni 65,000. Bei ni 70,000. Hizi ndio aina ya saa zote zipatikanazo homez deco....ni saa za ukutani.... Kuna saa za jikoni.... sebuleni....