KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA.....

KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA...../>  Hii imekaaje.....unaonaje.......je unaweza uka iweka kwenye ngazi zako hapo nyumbani. ....

RANGI ZA NJE ZA NYUMBA........ZINAPATIKANA KWENYE RANGI ZA DULUX PIA.....

RANGI ZA NJE ZA NYUMBA........ZINAPATIKANA KWENYE RANGI ZA DULUX PIA...../>  Ukiangalia nyumba hizi....sio tuu kwakua ziko nje ya nchi kwa wenzetu.....lakini pia zinavutia...na zinapendeza....kuanzia juu kwenye bati....

SEMA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HII LIVINGROOM.....

SEMA CHOCHOTE KUHUSIANA NA HII LIVINGROOM...../>

PILLOW CASES.......BEI SAWA NA BURE. .......KARIBUNI...

PILLOW CASES.......BEI SAWA NA BURE. .......KARIBUNI.../>  Foronya za mito ya decorations. ....kwa bei ya shs. 5000. Mto kwa sh. 10,000.  Karibuni. ...wote...tuwasiliane 0713 920565. ...

UNA NGUO UNAZOZIPENDA SANAAA................

UNA NGUO UNAZOZIPENDA SANAAA................/>  Hivi unajua kua unaweza ukawa na nguo zako unazozipenda...halafu zile rangi za nguo hizo ukazi apply nyumbani kwako.....kwenye chumba choch...

KORIDO ZETU.......

KORIDO ZETU......./> Ni wazo tuu.....kwenye korido za nyumba zetu.....mimi kwa mpaka sasa katika kazi yangu hii...wengi wetu tunajenga nyumba zikiwa na korido nd...

RANGI YA PINK......BAFUNI.....

RANGI YA PINK......BAFUNI...../> Umeshawahi kufikiria kua.....rangi hii inaweza kukaa bafuni.....maana tumezoea sana rangi hii iwepo tuu kwenye vyumba vya watoto....wetu wa ...

EMAIL: homezdeco@yahoo.com TEL: 0713 - 920565

Wapendwa wadau....naomba maulizo ya bei tutumie njia ya email ama simu....kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.. Nawashukuru sana,......

DECORATIONS ZA UKUTANI. ......ZINAPATIKANA HOMEZ DECO. .....

DECORATIONS ZA UKUTANI. ......ZINAPATIKANA HOMEZ DECO. ...../>  Karibu homez deco......decorations hizi unaweza kuweka kwenye ukuta wa tv ukuta wa kwenye sofas,  ama dinning ama chumbani. Na hata korido....

KWA MFANO ...UNAONAJE MOJAWAPO KATI YA HIZI IKAWA NI MASTER BEDROOM YAKO......

KWA MFANO ...UNAONAJE MOJAWAPO KATI YA  HIZI IKAWA NI MASTER BEDROOM YAKO....../> Kuna msemo usemao .....kupanga kuchagua.........Hivi unajua ukiamua unaweza kua na masterbedroom nzuri tuu jamani....maana hakuna cha ajabu ...

BRONCH.........PINI ZA KWENYE NGUO......UREMBO WA NGUO...WAWEZA PATA RANGI YA NYUMBANI KWAKO........

BRONCH.........PINI ZA KWENYE NGUO......UREMBO WA NGUO...WAWEZA PATA RANGI YA NYUMBANI KWAKO......../>  Wengi wetu hizi pini hizi tunazo.....na tunazitumia kufungia nguo zetu.....kama suti...ama blouse...etc...na huongeza mvuto zaidi..kwenye n...

PUNGUZO LA BEI KWENYE VITANDA VYA CHUMA......AINA YOYOTE ILE........10% OFF.......WAHI SASA TOA ODA YAKO ......

PUNGUZO LA BEI KWENYE VITANDA VYA CHUMA......AINA YOYOTE ILE........10% OFF.......WAHI SASA TOA  ODA YAKO ....../> Tunapenda kuwajulisha wateja wetu wote kua Homez Deco inatoa punguzo la bei la asilimia 10 katika bidhaa zake za vitanda vya chuma...karibu ...

RANGI ZA SADOLIN......ZINAPATIKANA HOMEZ DECO........

Tunapenda kuwajulisha kua sasa utajipatia rangi za Sadolin kwenye ofisi zetu za Homez Deco.... Kampuni ya Sadolin ndio iko pia na rangi za D...

RANGI ZA DULUX ZIMESHUKA BEI...............TUWASILIANE KWA NAMBA 0713 - 920565 AMA EMAIL: homezdeco@yahoo.com

RANGI ZA DULUX ZIMESHUKA BEI...............TUWASILIANE KWA NAMBA 0713 - 920565 AMA EMAIL: homezdeco@yahoo.com/> Tunapenda kuwafahamisha wadau wote kua sasa rangi za dulux zimeshuka bei kwa kiwango kikubwa mno....na hii ni kutokana na kwamba tunapenda w...

MABADILIKO YA EMAIL......

Napenda kuwajulisha..wote kua...kuanzia sasa...ile email ya sylvianamoyo@yahoo.com. ...haitotumika...tena...badala yake...tutatumia email:  ...

HOMEZ DECO FLYER.....AND BUSINESS CARD........

HOMEZ DECO FLYER.....AND BUSINESS CARD......../> Wadau wa homez deco.....napenda kuwajulisha kua...huu ndio muonekano wa fyler na businesses card...yetu..homez deco...itakavyoonekana...na k...

IMEKUPENDEZEA..........COFFEE TABLE......

IMEKUPENDEZEA..........COFFEE TABLE....../> Umeionaje hii design ya coffee table.....imekuvutia.....

MAHITAJI YA GRILLS ZA MILANGO NA MADIRISHA......

MAHITAJI YA GRILLS ZA MILANGO NA MADIRISHA....../>  Tumepata mdau mwenzetu...yeye ana deal na kutengeneza grills. ...hizi zinazoonekana...... Homez deco tunapenda kumleta kwenu....mdau huyu n...

J-Theme