DINNING TABLE.........

DINNING TABLE........./> Meza ikiwa nyumbani kwa mteja wetu......ni yawatu 6....

ODA YA SETI YA KITANDA........

ODA YA SETI YA KITANDA......../>  Homez deco tulipeleka seti hii ya kitanda..kwa mteja...  nilichofurahishwa nacho ni usafi wa godoro lake......katika kuhakikisha godoro lak...

STOOL YA MNINGA.....

STOOL YA MNINGA...../> Hii ni oda ya mteja wetu .....alitaka stool ya mninga....kwa ajili ya kuweka ua juu..kwenye sebule yake....kwenye kona.... karibuni kwa mahi...

KITCHEN PARTY GALA.......JANA......27/4/2014....

KITCHEN PARTY GALA.......JANA......27/4/2014..../> Nina mshukuru Mungu kwa siku hii.....niliweza kwenda kupata mafunzo...na kupima pia afya yangu....Mungu ni mwema kwangu..... nashukuru waand...

MADIRISHA KWENYE NGAZI.....

MADIRISHA KWENYE NGAZI...../> Wadau wangu....nimekutana na hii design ya dirisha  katika kazi zangu....na nafikiri hii ni mara ya 2 ama ya 3 kama sikosei....dirisha zina ...

UMESHAWAHI KUFIKIRIA KUA NA WALK IN CLOSET...KWENYE NYUMBA YAKO.......

UMESHAWAHI KUFIKIRIA KUA NA WALK IN CLOSET...KWENYE NYUMBA YAKO......./> Siku hizi tunajitahidi kujenga nyumba za kisasa....na zinapendeza kwa kweli....kuna mambo tuu madogo madogo ya kuongezea..nimeona leo tuonge...

MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI......

MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI....../>  Tumekua tukidharau sana stoo ya nyumba zetu...na kuhisi kua huku ndiko kwa kuficha vitu na kuweka kuwe tuu ulimradi bila mpangilio wowote.....

LAUNDRY ROOM.........

LAUNDRY ROOM........./>  Siku hizi kwenye nyumba baadhi ninazoenda....kufanya kazi wenye nyumba wamekua wakitenga chumba cha kufulia.....nje ya nyumba ama ndani kar...

BEFORE MEETS AFTER........PILLOW CASES....

BEFORE MEETS AFTER........PILLOW CASES..../>  Kazi ya Homez deco katika kochi hili ni kubadilisha foronya ya hiyo mito midogo......  Before...  After....

SHEAR BUTTER KUTOKA MAREKANI ZIMEWASILI......KWA MAHITAJI WASILIANA NASI....

SHEAR BUTTER  KUTOKA MAREKANI ZIMEWASILI......KWA MAHITAJI WASILIANA NASI..../>  Hii hiko ndogo..... Vaseline za maji....zipo pia....

KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA......

KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA....../> Leo naomba tuone.....hii sehemu ya nchi ya ngazi kwa wenye nyumba za ghorofa.... mimi katika pita pita zangu....kwenye nyumba...aina hii..hu...

UNAWEZA KUSEMA NINI KUHUSU PICHA HII......KWAKO MDAU...........KARIBU...

UNAWEZA KUSEMA NINI KUHUSU PICHA HII......KWAKO MDAU...........KARIBU.../> Tutumie maoni yako kwa ku comment. .nami nitairusha.....

COLOR COMBO...SOFA.....L-SHAPE.....FOR 8-10 PEOPLE......

COLOR COMBO...SOFA.....L-SHAPE.....FOR 8-10 PEOPLE....../>  Pamoja na kua kimya....lakini kazi ilikua inaendelea na tunaendelea na kazi kama kawaida....homez deco tunatengeneza sofa......za aina yoyo...

SHELVES.......ZA JIKONI....NI MBAO PAMOJA NA CHUMA....

SHELVES.......ZA JIKONI....NI MBAO PAMOJA NA CHUMA..../> Hapa tuliweka shelves hizi....kwa kua mwenye nyumba hakua na makabati ya jikoni...sasa wakati anajipanga kwa hilo....ndipo tukamtengenezea s...

J-Theme