Nina mshukutu Mungu kwa kila jambo analonitendea......homez deco tumekua kimy a kwa kama muda wa wiki 3 hivi....nilikua safarini nilikwenda China...kwa ajili ya biashara....kuleta mali....
Nashukuru sana safari ilikua niyamafanikionmakubwa...namzigo tayari nimeshafunga...uko njiani....
Nawashukuru pia wadau na wateja wangu kwa support yenu mnayonipa na mnayoendelea kunipa.....
Naombeni radhi kwa kua kimya .....maana nilijua kua nitaendeleankunupdate nikiwa huko...lakini...blogs hazikubali...wala facebook....wanasema zimefungiwa....sasa jikawa nina update tuu kwenye instagram yetu.Nawaomba wadau mni follow kwenye instagram pia ili tuwe tunaenda sawa.....account yetu ni @homezdeco
Karibuni sana......nanendeleeni kua nasi...
Tidak ada komentar:
Posting Komentar