Lakini sasa unaweza kupata rangi za kupaka katika nyumba yako kwa kupitia pini hizi....haswa katika ile pini uipendayo sana....unaweza kuweka rangi hizo sebuleni kwako...chumbani ama korido etc.......na kukavutia mno
Hizi ni baadhi ya pini hizo....na rangi zinazoendana.....na zilizokuwepo katika pini hizi.....ukiwa makini utapata rangi uzipendazo......
Hebu niambie ni group gani umelipenda na ungependa nikusaidie vipi.....katika uchaguzi huo.....na tukakuuzia rangi zetu za Dulux ama Sadolin kwa bei nzuri kama rangi zenyewe...na ushauri pia utapata...ili kuweza kupendezesha nyumba yako.....
Ukiwa na nyumba nzuri...na yakuvutia......utakua na amani ya moyo na furaha muda wote......
Kupanga kuchagua....furnitures zako nzuri za gharama haziwezi kuonekana kama rangi ya nyumba haivutii.......uamuzi unao wewe.....
Tuwasiliane namba 0713 - 920565, ama email: homezdeco@yahoo.com
Tidak ada komentar:
Posting Komentar