NYUMBA ZA GHOROFA....KWENYE NGAZI....
Rabu, 05 Februari 2014 on Labels: Interior
Baadhi yetu tuna nyumba za ghorofa...ambapo kwenye ngazi hua tunaweka dirisha na kufuatiwa na pazia........baadhi ya nyumba hizi zimekua zikipendeza naa baadhi zimekua hazipendezi kutokana na aina ya nyumba ama ukubwa wa sehemu....
Na kusema ukweli sio kila mahali lazima kuweka pazia....kuna mbinu nyingi ambapo interior designer akihusishwa atakupa mawazo tofauti tofauti...na nyumba ikaonekana ya kisasa zaidi na inayoendana na wakati.....
Sehemu hii ya ngazi. Unaweza kuweka..picha za group, ama shelf ya kuweka urembo na vitabu kiasi ama maua.....etc...na patapendeza mnooo...
Tidak ada komentar:
Posting Komentar