Homez deco tulipata kazi ya kubadilisha cusions za sofa...pamoja pillow ndogo za sofa kwa mteja wetu huyu.....alipenda silver kwa mito mikubwa na mito midogo iwe ni color combo....
picha hii hapa juu ni kabla.....
Na picha hii hapa juu ni baada......baada ya kuweka mito tulimuomba aturushie picha......na akaturushia.....tunakushukuru sana mteja wetu kwa ushirikiano wako......
BEFORE AND AFTER LIVINGROOM ...........
Senin, 17 Februari 2014 on Labels: Interior
Tidak ada komentar:
Posting Komentar