Kuna njia moja rahisi sana kwa wale wapendao colorfull kwenye nyumba zao....iko hivi...unapopaka rangi ukutani ambayo ni colorfull halafu ukaja ku mix and match na fanicha na mapambo.....hua inakuja kukuchosha baada ya muda.....na mara nyingi ni kua …
Home > Archives for Februari 2014
COLOR IDEAS FOR YOUR LIVING ROOM. .....
Inategemea na wewe mwenye nyumba unapenda color gani....kwa mimi mara nyingi humuuliza mteja maswali ambayo hunisaidia kuweza kujua mteja anapenda rangi gani...ama vitu gani...maana wengi wetu wanadhani kua ukumuita interior designer ndio tayari anaf…
MITO YA MAKOCHI........
Napenda kumshukuru mteja wangu huyu wa tabata....kwa kutuletea kazi yake....nasisi kama homez deco tumeifanya kwa uangalifu mkubwa na umakini........unaweza kusema ni kazi ndogo....ni kweli kazi sio kubwa sana.....ingawa watu hudharau pale unapompa …
METAL FURNITURES...AVAILABLE AT HOMEZ DECO BY ORDER......
Meza na stools zake 2 bei ni tshs. 300, 000. meza peke yake ni tshs. 200, 000. kitanda 5 by 6 kikiwa na 4posters...chuma za net bei ni tshs. 550, 000. Kitanda bila 4posters...5 by 6 bei ni tshs. 500, 000. wine racks ya juu ni 110, 000. Naya chini ni…
BEFORE AND AFTER LIVINGROOM ...........
Homez deco tulipata kazi ya kubadilisha cusions za sofa...pamoja pillow ndogo za sofa kwa mteja wetu huyu.....alipenda silver kwa mito mikubwa na mito midogo iwe ni color combo.... picha hii hapa juu ni kabla.....Na picha hii hapa juu ni baada......…
TOPIC INAYOFUATA.....NI KUHUSU VYOO NA MABAFU YETU...
Topic hii ninamalizia kuiandaa.....na kuiweka kiufasaha...na iweze kueleweka....maana katika nyumba zetu kumekua na makosa flan flan ambayo yangeweza kuepukika.....ama kuzuilika....…
INAPATIKANA HOMEZ DECO...BY ORDER....RANGI YOYOTE.....
kiti hiki kinaweza kukaa chumbani kama una chumba kikubwa ama chumba cha kuvalia viatu....ama korido....na hata sittingroom .....kinapatikana kwa order....price ni 700, 000.....ila bri inategemea na ukubwa...yaweza kushuka ama kupanda...Karibuni..…
NYUMBA ZA GHOROFA....KWENYE NGAZI....
Baadhi yetu tuna nyumba za ghorofa...ambapo kwenye ngazi hua tunaweka dirisha na kufuatiwa na pazia........baadhi ya nyumba hizi zimekua zikipendeza naa baadhi zimekua hazipendezi kutokana na aina ya nyumba ama ukubwa wa sehemu....Na kusema ukweli s…
QUOTE OF THE DAY....
Note: mnaweza nifuata pia instagram @homezdeco Karibuni.....…
METAL SOFA .......LIKIWA TAYARI KWENDA KWA MTEJA...
Mteja alipenda rangi ya sofa iwe black na silver....na homez deco tukafanya kazi...na hivi ndivyo inavyoonekana baada ya kwisha......…
CHOOSING AND PREPARING TO INSTALL A CEILING FAN.
I’ll spare you the details on how to actually install a fan, but will share some tips and helpful hints for what to do before and during the process of installing a ceiling fan.When you head to the store (or search online) to choose a ceiling fan, yo…