Tujitahidi kuta zetu tusiziache wazi bila kuweka picha za ukutani kwani zinaleta mvuto zaidi.
Kioo pia kinamvuto wake hapo...kioo kikiwa ukutani. ....na kuna saa ya ukutani pia....
Kioo hiki ndicho kilichobaki....waweza weka sitting room. .ama dinning room ama bedroom ama ....korido. .na kikapendeza.....Tuwasiliane kwa mahitaji ya home decorations. ... na ushauri....0713920565...
Tidak ada komentar:
Posting Komentar