WALLPAPERS. ...IMESHABANDIKWA...NYUMBANI KWA MTEJA.......

 on Rabu, 09 Juli 2014  


 Jinsi wallpapers zinavyoweza kubadili..sittingroom yako......kwa haraka ....

 Hapa ni nyumbani kwa mtej aliyenunua wallpapers. ..rolls 3 na gundi 2. Na fundi wetu akaenda kubandika.......tunakushukuru mteja wetu.....
 Picha ya chini ni kabla ya wallpapers na picha ya juu ni baada ya wallpapers. ....ni rahisi mno.....wallpapers bado zipo wadau....tuendelee kuwasiliana. ..0713 920565 kwa mahitaji ya wallpapers. ..karibuni wote...



Tidak ada komentar:

Posting Komentar

J-Theme