kuna baadhi ya watu hutumia stoo kuweka chakula sabuni etc... vya mwezi mzima....hivyo basi ni lazima kuwe kusafi na kuweza kufanya wadudu wasiweze kuingia na kuharibu vyakula hivyo....
tumia mbao za kawaida....kutengeneza shelves hizi....

By Home Decoration on Rabu, 23 April 2014 Labels: Interior
Tidak ada komentar:
Posting Komentar