/>
Meza ikiwa nyumbani kwa mteja wetu......ni yawatu 6....
Home > Archives for April 2014
ODA YA SETI YA KITANDA........
/>
Homez deco tulipeleka seti hii ya kitanda..kwa mteja... nilichofurahishwa nacho ni usafi wa godoro lake......katika kuhakikisha godoro lak...
STOOL YA MNINGA.....
/>
Hii ni oda ya mteja wetu .....alitaka stool ya mninga....kwa ajili ya kuweka ua juu..kwenye sebule yake....kwenye kona.... karibuni kwa mahi...
KITCHEN PARTY GALA.......JANA......27/4/2014....
/>
Nina mshukuru Mungu kwa siku hii.....niliweza kwenda kupata mafunzo...na kupima pia afya yangu....Mungu ni mwema kwangu..... nashukuru waand...
MADIRISHA KWENYE NGAZI.....
/>
Wadau wangu....nimekutana na hii design ya dirisha katika kazi zangu....na nafikiri hii ni mara ya 2 ama ya 3 kama sikosei....dirisha zina ...
UMESHAWAHI KUFIKIRIA KUA NA WALK IN CLOSET...KWENYE NYUMBA YAKO.......
/>
Siku hizi tunajitahidi kujenga nyumba za kisasa....na zinapendeza kwa kweli....kuna mambo tuu madogo madogo ya kuongezea..nimeona leo tuonge...
MPANGILIO UPI UMEUPENDA........KATIKA MOJAWAPO YA STOO HIZI......
/>
Tumekua tukidharau sana stoo ya nyumba zetu...na kuhisi kua huku ndiko kwa kuficha vitu na kuweka kuwe tuu ulimradi bila mpangilio wowote.....
LAUNDRY ROOM.........
/>
Siku hizi kwenye nyumba baadhi ninazoenda....kufanya kazi wenye nyumba wamekua wakitenga chumba cha kufulia.....nje ya nyumba ama ndani kar...
BEFORE MEETS AFTER........PILLOW CASES....
/>
Kazi ya Homez deco katika kochi hili ni kubadilisha foronya ya hiyo mito midogo...... Before... After....
SHEAR BUTTER KUTOKA MAREKANI ZIMEWASILI......KWA MAHITAJI WASILIANA NASI....
/>
Hii hiko ndogo..... Vaseline za maji....zipo pia....
KWA WALE WENYE NYUMBA ZA GHOROFA......
/>
Leo naomba tuone.....hii sehemu ya nchi ya ngazi kwa wenye nyumba za ghorofa.... mimi katika pita pita zangu....kwenye nyumba...aina hii..hu...
UNAWEZA KUSEMA NINI KUHUSU PICHA HII......KWAKO MDAU...........KARIBU...
/>
Tutumie maoni yako kwa ku comment. .nami nitairusha.....
COLOR COMBO...SOFA.....L-SHAPE.....FOR 8-10 PEOPLE......
/>
Pamoja na kua kimya....lakini kazi ilikua inaendelea na tunaendelea na kazi kama kawaida....homez deco tunatengeneza sofa......za aina yoyo...
SHELVES.......ZA JIKONI....NI MBAO PAMOJA NA CHUMA....
/>
Hapa tuliweka shelves hizi....kwa kua mwenye nyumba hakua na makabati ya jikoni...sasa wakati anajipanga kwa hilo....ndipo tukamtengenezea s...