Nb:Meza zote hizi ni watu 4. Price ni 780,000. Meza iwe round ama square ni uamuzi wa mteja....na meza ni za kioo....ukihitaji top ya marble kwenye meza...bei ni maelewano kulingana na aina top yenyewe....Meza ya watu 6 ni 980,000.karibuni mtoe oda.…
Home > Archives for Januari 2015
LIVING ROOMS....
Mpangilio wa sebule yako inategemea na ukubwa wa chumba hicho....kuta zikoje...etc....kuna sebule zinafaa Lshape tuu sofa..hivyo usilazimishe kuweka sofa nyingi....na kuna sebule zinakubali aina yoyote ile...na kwenye mpangilio anza kupanga vitu vik…
CREATING BEDROOMS TO RELAX AND ESCAPE....
Hivi ni baadhi ya vyumba vya kulala....unaweza kupata muonekano huu ukiamua....…