…
Home > Archives for 2015
BAADHI YA DESIGNS ZA GARDEN...
Soon mawe haya ya garden yataanza kupatikana homez deco ...endelea kua nasi...…
KWA MAHITAJI YA VYUNGU VYA GARDEN....WASILIANA NASI 0713920565
Homez deco tumeanza kutengeneza vyungu vya maua...size utakayo...Sizes na bei yake..Ndoo ya lita 20 bei 45,000Ndoo ya lita 10 bei 35,000Lita 4 bei...30,000Karibu sana sana weka oda yako na utuambie rangi upendayo…
RANGI ZA DULUX...
Nyumba ya mteja wetu Arusha.....rangi za dulux zimetumika ukutani...imeingia ndoo 1 ya lita 20...na lita 10 ya vikopo vya lita 5 balcony mbele na nyuma....Kwenye hayo mawe ya tanga stone hatujagusa....ni ukutani tuu kwa juu.....Kwa mahitaji ya rangi …
VYOTE HIVI UTAVIPATA KWETU...KARIBU UWEKE ODA NASI..MIKOANI TUNATUMA PIA....0713920565
Hiki ni kitanda napia ni kochi...3by6 na 4by6....320,000.....stools 2 na meza...320,000..Ni kitanda na pia ni kochi...size 3by6 na 4by6.....320,000.. Size 5by6...400,000... Size 5by6....400,000 Size 5by6...400,000 Size 5by6...400,000 na stool 1 ni 8…
MEZA ZA TV ZA CHUMA.....
Meza za tv za chuma kila 1 ni 220,000....weka oda yako sasa.....0713920565Tu follow pia instagram @homezdeco…
COFFE TABLE.....
Coffee table hizi zote kila 1 bei ni 250,000.ikiwa na stools 2 bei ni 400,000.....karibuni mtoe oda...0713920565…
RANGI ZA NJE....ZA DULUX....MOHAWK VALLEY & BEIGE SAND
Sasa hivi tumeanza kupata soko Morogoro....asante sana mteja wetu kwa kutuamini na kuja kununua rangi zetu Mteja huyu alikuja kwetu kununua rangi na alielekezwa na jirani yakebaada ya zile mvua kubwa kunyesha....na majirani wengine rangi zilikua zim…