Hizi ni decorations.... zikiwa zimefika nyumbani kwa mteja...na zinapatikana homez deco...karibuni muwasiliabe nasi…
Home > Archives for Oktober 2014
HOME GOODS RESALE
Je una furniture za nyumbani ama ofisini na ungependa kuuza ....ziwe katika hali nzuri....Basi wasiliana nasi 0713920565.Carpet hii inauzwa.. 80,000 - 70,000. Wasiliana nasi 0713920565. Ni size kama hiyo picha ya hapo juu...yankuweza kukaa coffee tab…
L-SHAPE METAL SOFA.
Homez deco tulifanya delivery kwa mteja...hili kochi la chuma pamoja na meza yake. Mteja wetu alitaka rangi ya silver na akinipa uhuru wa ku cheza na rangi za kochi hili...Nakuachia wewe mdau ndio judge katika hili.…
HOME GOODS RESALE.....
Carpet hii kwa mahitaji wasiliana na 0719 - 296757.Hiki ni kipengele.... ni kile cha for sale.. ila nimekibadilisha jina na kukipa jina lingine.. ambalo ni home goods resale...nimeona hili limekaa vizuri zaidi.. ila nakaribisha ushauri wenu wadau....…