Asilimia kubwa ya nyumba za Kitanzania milango ya mbele ya nyumba zetu hua hatuitumii....yaani labda mgeni kaja...au labda tunataka kuiniza vitu ndani ndio tunatumia huo mlango.Asilimia kubwa hua tu atumia mlango wa nyuma ambao ni wa jikoni...Sasa ba…
Home > Archives for Mei 2014
SHADES OF YELLOWS. ......
Rangi ya njano....ikitumika vizuri huleta mvuto na hupendeza.......na kwa sababu rangi hii ni kali basi inashauriwa kutumika kidogo...sehemu ambapo unataka itumike....Rangi hii ya njano....inaweza ikawa imeiva...imepauka....imekolea....maana katika r…
AC KWENYE NYUMBA ZETU.
Ndugu wadau....hua najiuliza sana na sipati jibu..ya kwa nini kwenye nyumba zetu ile sehemu yenye AC kwa chini yake hua tunapaacha wazi hatuweki hata picha ....maana hua panaonekana pako wazi mno....Ingawa inategemea na AC yako ulivyoiweka....Nivema …
KITI HIKI NI CHA SALOON.......HARD WOOD..
Hard wood unaweza kupiga rangi yoyote ile utakayo na ikatokea vizuri mno..... kwa wezetu wa nchi za nje viti hivi hutumika kukalia directors wa movies.....ila sie tumeweka kwa matumizi ya saloon na bado inamedeza pia... Kiti hiki koko comfortable. .…
HARD WOOD. ...LOVE CHAIR.....
Kiti hiki cha watu wa 2 kimetengenezwa kwa kutumia mbao ya mninga..... Kinaweza kuwekwa kwenye balcony yako...ama sitting room...ama kwenye gazebo....vile vinyumba vidogo vya vya kupumzika....vya nje.... orange imetumika kuongeza kionjo cha kochi hi…