UKIMYA WETU.....

thumbnail Homez deco tumekua kimya kwa muda...ni kwa kua tunaumwa mimi na mtoto....ila namshukuru Mungu tunaendelea vizuri....na Mungunakipenda jumatatu tunaendelea kama kawaida humu kwenye blog yetu......Asanteni kwa uvumilivu wenu....Tunawapenda wote...…

TODAY IT'S MY BIRTHDAY. ......3/3......MY STAR IS PIECES. ...

thumbnailKwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu wangu muweza wa yote kwa kunipa pumzi mpaka siku hii ya leo.....na pia kuweza kunifikisha hapa nilipo....katika kazi zangu...matunzo ya familia yangu....wafanyakazi wangu pia....etcPili napenda kuwashukuru wadau…

Page 1 of 54123...54Next »Last
J-Theme